kwamamaza 7

Rais Kagame anatarajia kurudia Guinea baada ya mwaka mmoja

0

Msemaji wa muda wa serikali ya Guinea, Moustapha Mamy Diaby pamoja na waziri wa uhusiano, alhamisi walisema kuwa rais wa Rwanda, Paul Kagame pamoja na rais wa Tchad, Idriss Deby wanajiandaa kwenda katika nchi hio kwa ajili ya mashauri kuhusiana ka kujenga upya mradi wa Umoja wa Afrika.

Msemaji wa Guinea eti: “mkuu wa nchi alijulisha ushari wa nchi ujio wa rais Paul Kagame pamoja na Idriss Deby Itno wanao ongoza Rwanda na Tchad kwa ajili ya mashauri ya mradi ya kujenga upya ngazi ya Umoja wa Afrika ”, ila hakutaja siku ya ziara hio kama vile husema utangazaji wa APA.

Januari mwaka huu ndipo rais wa Guinea, Alpha Conde,  alipewa majukumu ya kuongoza Umoja wa Afrika kwa muda wa mwaka mmoja akichukuwa nafasi ya Idriss Deby wa Tchad.

Mwezi nenda wa Mach ndipo rais Idriss Deby alikuwa Guinea alianzisha mradi ya nguvu kuhusu bara la Afrika naye akiwa kiongozi mpatanishi.

Rais Paul Kagame, yeye alikuwa Guinea mwezi mach 2016 akiwa katika kuzua ushirikiano kati nchi hizo mbili kuhusu uchumi na uongozi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wakati huo viongozi walisaini mambo tano tofauti pakiwemo kurahisishia wanadiplomasia wanao safari na wenye kuwa katika huduma za serikali hata raia wa Guinea kupata visa Rwanda.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.