kwamamaza 7

Rais Kagame anasubiriwa Uswisi katika mkutano wa Uchumi ulimwenguni (WEF)

0

Rais wa Jamhuru ya Rwanda, Paul Kagame anasubiriwa mjini Davos nchi ya Uswisi katika mkutano wa kimataifa ya uchumi ya kwanza duniani (World Economic Forum, WEF) ambayo inafanyika tangu tarehe 17 hadi 20 Januari 2017.

Mkutano huu hufanyika kila mwaka na hukutanisha viongozi maalumu duniani, mazungumzo ni kuhusu maendeleo ya uchumi na wanaoishi ulimwengu. Mwaka jana mkutano kama huu ulifanyika mjini Kigali barani Afrika tarehe 11 hadi 13 Mai 2016.

kagame
Picha ya mwaka jana ya WEF/Kigali

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Walio andaa WEF 2017, wamesema sababu muhimu ambao iliwasukumu kumualika rais Kagame ni kua alisimamisha mauaji ya Kimbari, akaweza kuijenga tena nchi na kwa miaka 23, nchi Rwanda ipo katika maendeleo ambayo hushangaza wengi kimataifa.

Rais Kagame aliombwa kushikiri WEF 2017 kama mumoja wa viongozi wa kundi la UN ambalo huhusika na lengo Karne.

Kwenye ratiba ya WEF 2017, tarehe 19 Januari saa tanu na dakika 45 za mchana, rais Kagame ni mmoja ya wale watakao toa maongezi kuhusu sababu ya nchi nyingi ambazo huhusika na maendeleo ya teknolojia wakisahau usalama ya wale ambao hutumikisha na kuwaongezea elimu raia ili waweza ongeza ufahamu.

Siku hio jioni rais Kagame ataongelea namna ya kutumikisha teknolojia ili kupunguza hali ya hewa chafu hewani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.