Home HABARI MPYA Rais Kagame anashukuru Wanyarwanda wanao zingatia nchi yao mahali pote
HABARI MPYA - March 8, 2017

Rais Kagame anashukuru Wanyarwanda wanao zingatia nchi yao mahali pote

Rais Kagame akizungumza na Wanyarwanda wanaoishi Uwingereza jana tarehe 7 Mach 2017, aliwashukuru kwa kuwa wanazingatia Rwanda mioyoni mwao.

Wakati alipo toa kwenye maongezi kwa ajili ya ufanyaji biashara katika bara la Afrika yalio andaliwa na gazeti la Wall Street Journal, mjini London Uwingereza alikuta kundi kubwa sana la Wanyarwanda wanao unda diaspora ya Rwanda huko Uwingereza.

Eti “nafurahia kuwa pamoja nanyi, singeliondoka bila kuwasalimu, nawashukuru kwa kuwa mahali pote mulipo munazingatia Rwanda na msaada munao toa kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais wa jamhuri aliendelea na kusema ya kuwa hivi Rwanda imeunga umoja, wenye nguvu kubwa wanawatafuta wenye nguvu kidogo.

Eti “mumefanya vema kuzingatia usamini wa nchi yetu, kukutana nanyi inatuongezea nguvu na husababisha yaliokuwa magumu”.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.