kwamamaza 7

Rais Kagame anaomba nchi za Afrika kufungua mipaka ya angha

0

Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame alishiriki mkutano kuhusu kutwaa watu na vitu ndani ya ndege katika bara la Afrika ulio fanyika Kigali terehe 22 Februari 2017, aliomba nchi urahisishaji wa usafirisaji wa ndege kwa niaba ya maendeleo.

Aliwaambia walio kuwa katika mkutano ya kuwa ni muda muhimu wa kujiunga kwa nchi za Afrika kwa ajili ya kutayarisha siku za usoni.

Rais alifafanua ya kuwa Rwanda ilitia mkazo kwa kufungua biashara ya kuwatwaa watu anghani pamoja na Waafrika kwa kufungua mipaka.

Aliomba kutimiza mkataba wa usafirisaji wa ndege katika bara la Afrika ulio sainiwa Yamoussoukro, nchi Cote d’Ivoire mwaka wa 1999.

Rais Kagame aliongezea na kusema ya kuwa kutwaa watu na vitu ndani ya ndege katika bara la Afrika sherti ipande kwa hali ya juu, ili mtu anaye taka kwenda katika nchi fulani ya Afrika kwa niaba ya kutembea arahisishiwe na bei iwe nafu.

Rais Kagame amesema ya kuwa Rwanda imekazia mambo ya msingi kibiashara na usafirisaji wa ndege, kwa kujenga upya uwanja wa ndege wa kimataifa Bugesera, na itarahisishia watakao hitaji kutembelea Rwanda.

Mkutano huo ulishiriki watu 550 kutoka katika nchi 58, vituo vya ndege 120 na vingine 56 vya kimatendo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.