kwamamaza 7

Rais Kagame ampongeza Waziri Mkuu Modi kwa ushindi wake

0

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amempongeza Narendra Modi, ambaye amechaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa Uhindi mala nyingine.

“ Ninakushukuru Waziri Mkuu, Narendra Modi kwa kucahaguliwa tena. Nawatakia ushindi nyinyi na Wahindi kwa ujumla. Tutafanya iwezekanavyo kwa ushirikiano wan chi zetu.” Kagame ameandika kwenye Twitter

Modi ana kura 63.6%, kinyume na mpinzani wake, Shahili Shadavu ambaye ana kura asilimia 18.4

Kuna ushirikiano mzuri kati ya Rwanda na Uhindi tangu mwaka 1999.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.