Jana tarehe moja Novemba 2016, rais Paul Kagame amempokea katibu makamu wa umoja wa mataifa Jan Eliasson mwenye kuwa kwa ziara ya siku mbili nchini Rwanda.

Pamoja na mawaziri tofauti wa Rwanda watazungumza kuhusu maendeleo ambao nchi ya Rwanda hutia mbele, uongozi hata namna ya kutatua shida mbalimbali za raia wa Rwanda.

kagame kagame1

[ad id=”72″]

kagame2 kagame3

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina