kwamamaza 7

Rais Kagame amezungumzia kuhusu nini pamoja na viongozi wa askari jeshi wa nchi?

0

Leo jioni kwenye kikao “Messe des officiers”  Kimihurura, rais Paul Kagame ameonana na viongozi wakuu wa askari jeshi wa nchi, mara mikitano kama hii huwa mara moja au mbili kwa mwaka.

Katika mikutano kama hii ya miaka nenda walikuwa wakirudiria kuzingatia usamini na usalama wa nchi, kuendela na heshima katika huduma zao.

Rais Kagame kama jemadari wa hali ya juu wa jeshi la Rwanda kama vile hutarajiwa katika sheria, mikutano kama hii alikuwa akiomba askari jeshi kutia mbela faida ya nchi kuliko zao binafsi.

Hadi sasa hakuna jambo lolote ama taarifa kusema yale rais aliyo yazungumza katika mkutano wa leo pamoja na jemadari wa jeshi la Rwanda kama vile husema umuseke.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Utafiti wa ngazi ya uongozaji wa nchi uliofanywa mwaka wa 2016 huonyesha kuwa raia wanatumaini jeshi la Rwanda kiwango cha 99%.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.