kwamamaza 7

Rais Kagame amewashituwa viongozi wa ngazi za msingi wanaokwepa majukumu yao

0

Tarehe 7 Februari Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame aliwakumbusha viongozi wa ngazi za msingi ya kuwa wao wenye wanaombwa kujaza majukumu yao kwa niaba ya kusahihisha makosa yaitwayo madogo ila yanaweza kuzui matokeo mabaya tena makubwa.

Ni katika mkutano alikuwa nao pamoja na viongozi wa ngazi ya msingi wapatao 3.000 wa wilaya ya Gasabo, eti “ kama viongozi kama hamusikie yote yanaharibika, nayakiharibika kukosoa ni vigumu”.

Hapo alirudilia viongozi ambao wanasubiri wakati wamvua ili wakaaji wapate kulima mashamba na kuna namna nyingine ya elimu wanaweza kuwapa ili hata kama mvua haipatikane wanaweza kuweka maji ili mimea ikomae vizuri.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Alissema tena ya kuwa hakuna mtu ambaye anaruhusiwa kuvamiya usalama ya wengine kwa sababu huharibu mambo yaliofikiwa katika maendeleo kwa sababu matokeo ni kwetu sisi sote.

Katika mkutano huu Rais alizungumzia kuhusu rushwa na wanaopora mali ya raia eti “kama viongozi si vizuri kunyamanza wakati wenzetu wanapora na wanachukuwa rushwa, hakuna hata kiongozi anaye ruhusiwa kupendelea anayepora yaliyo ya raia”.

Aliwaambia viongozi kuzingatia maendeleo ya vijiji na miji na kuwaonyesha wakaaji yanayo wafaa.

Rais Paul Kagame amefanya maongezi na viongezi wa ngazi za msingi, wakati mwengine siku nenda ilisemakana katika sehemu tofauti za nchi kuwa viongozi wamoja waliacha huduma zao wakisema wanaacha kwa niaba yao, ukifuatiliya vizuri unatana kuwa wameaga kwa ajili ya uporaji wa mali ya maskini sana pesa za VUP kwa ajili maendeleo ya munyarwanda,

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.