kwamamaza 7

Rais Kagame amewapokea mabalozi wapya 6

0

Juma tatu tarehe 23 Januari 20117, rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame, amepokea barua 6 za mabalozi zinazo wakubaliya kusimamiya nchi zao Rwanda.

Hao  ni Youssef Imani kutoka Maroc, Jenny Ohlsson (Suwede), Kim Eun-Joong kutoka Koreya ya Kusini, wenye kuwa na vikao Kigali, Sara Hradecky wa Canada, Therese Samaria (Namibia) na Abdullah Mohammed Al-Takawi kutoka nchi za Umoja wa Warabu (UAE) watakuwa na vikao Kenya, Tanzania na Uganda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Baada ya kupokelewa na rais Kagame, balozi Al-Takawi alishukuru nchi ya Rwanda kuwa ni nchi ambayo inatembelea sheria, na kwa hayo wafanya biashara kimataifa hupenda kufanya kazi zao Rwanda.

Balozi Ohlsson kutoka Sweden amesema kua nchi imemutuma Rwanda na kwa sababu wapo ni uhusiano mwema kati nchi zote mbili.

Balozi kutoka Corea ya Kusini, Kim Eun-joong yeye anahamasisha kuzua uwasiliano kati ya nchi zote mbili katika elimu, teknolojia na maendeleo vijijini.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Balozi Hradecky kutoka Canada amesema kuwa nchi zote mbili zitasaidiana kwa kuwania amani, maendeleo, elemu, afya na kuwasaidia maskini.

Balozi Samaria kutoka Namibia amesema watasaidiana kimawazo kwa kuwa Namibia hugusa bahari lakini kwao ni jangwa na Rwanda hawaguse bahari ila wanapata mvua.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.