kwamamaza 7

Rais Kagame amepokelewa na shangwe kubwa Guinea

0

Jana tarehe 23 April 2017, rais Paul Kagame wa Jamhuri ya Rwanda alipokelewa na shangwe kubwa alipo wasili Guinea kuhuzuria mkutano wa wana Afrika.

kagame

Baada ya mwaka moja akiongoza Umoja wa Afrika, rais Idris Deby Itno wa Chad aliye chukuwa nafasi yake ni Alpha Condé mwezi Januari 2017.

kagame3

Rais Kagame naye akiwa na majukumu ya kujenga mabadiliko katika kikao cha jamii ya Umoja wa Afrika(AU).

Rais Kagame pamoja na kundi lote la kutayarisha mabadiliko, inatarajiwa kuonyesha jinsi Afrika itakuwa bara lenye kujiweza bila kutegemea misaada kutoka mataifa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.