kwamamaza 7

Rais Kagame amepokelewa na Pope Francis

0

Juma tatu tarehe 20 Mach 2017, rais Kagame amekuwa na mazungumzo na kiongozi mkuu wa kanisa katolika ulimwenguni Pope Francis kwenye kikao kikuu mjini Vatican.

Waziri wa uhusiano na mataifa Mushikiwabo Louise akiwa pamoja na rais Kgame mjini Vatican eti “Rais Kagame na Pope Francis wamezungumzia mambo tofauti kuhusu ushirikiano wa Rwanda na kanisa Katolika. Rais Kagame alifurahia kanisa Katolika kuhusu ngazi ya maendeleo katika maisha na uchumi nchini Rwanda kwa upekee katika ngazi ya malezi na afya.

Mengine ni kuhusu kuhusika kwa kanisa Katolika katika historia mbaya iliyopitia Rwanda, sana katika mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi mwaka wa 1994. Mbele ya hapo uongozi wa kanisa Katolika walihusiana sana na ukoloni na kuhusika na kugawa makundi Wanyarwanda na kuwafundisha itikadi ya mauaji ya Kimbari.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri Mushikiwabo eti: “ mkutano wa leo ulikuwa ni kusema ukweli mtupu na heshima kati pande zote mbili. Hii ni hatua ya furaha kati ya Rwanda na kanisa Katolika hata na shurti ya kupiganisha itikadi ya mauaji ya Kimbari, hapa ni kwa kusisimua uhusiano kati ya Wanyarwanda na kanisa Katolika”.

Maendeleo ya Rwanda katika umoja na uchumi yalirudiliwa, pakiwemo manusura wa mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi na wahusika waliokubali makosa wanaishi vizuri katika umoja.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.