kwamamaza 7

Rais Kagame amepokea mabalozi wapya

0

Balozi wa India, Ravi Shankar pamoja na balozi wa Uchina, Rao Hongwei wamempa rais wa jamhuri ya Rwanda vibali vya kuwa waakilishi wa nchi zao Rwanda.

Baada ya kuwasiliana na Rais Kagame, balozi Shankar, aliambia wanahabari kuwa waliongea kuhusu uwasiliano mwema wa nchi zote mbili na akiwa na lengo ili uwasiliano usonge mbele.

Balozi Shankar, mwenye kuwa na kikao Kampala nchini Uganda, aliongeza na kusema Rwanda na India watashirikiana katika elimu na matibabu kwa kuwa siku za usoni Wanyarwanda hawatakwenda tena India kutafuta matibabu.

kagame

Balozi. Rao Hongwei naye kasema kuwa aliongea na rais Kagame kuhusu ushirikiano kati ya Uchina na Rwanda na anaamini maendeleo.

Uchina na Rwanda huwa na ushirikiano katika mambo ya msingi, elimu, ubiashara na mengine.

Mwezi nenda rais Kagame alifanya ziara nchini Uchina na aliongea na rais Xi Jinping na walikubaliana kuzua miradi ya maendeleo kuhusu maisha mema ya raia.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.