kwamamaza 7

Rais Kagame amepokea kundi linalo musaidia kufanya upya AU

0

Juma pili tarehe 26 Februari 2017, rais Kagame amepokea kundi la wajuzi tisa wanao musaidia katika majukumu yakufanya upya Jamii ya Umoja wa Afrika, (AU) ili kufikia mwelekezo wa maendeleo kamili.

Wakati alipo wapokea, kwa pamoja walichunguza kimatendo yaliyo amriwa kwa ajili ya kufanya upya AU iliyo tiliwa mkazo katika mkutano wa marais wa Afrika.

Mwisho wa mwezi Januari 2017, katika mkutano wa 28 wa umoja wa Afrika ulio fanyika Addis Ababa huko Ethiopia ndipo rais Kagame alionyesha Wakuu wa nchi na serikali ripoti inayo onyesha matendo ya kufanya upya AU.

Hayo ni baada ya kupewa majukumu na jamii hilo katika mkutano wa 27 ulio fanyika Kigali mwezi Jalai 2016. Kundi hilo linaundwa na waume 5 na wake 4.

Wanaounda kundi hilo ni wajuzi katika mambo ya uchumi kutoka sehemu tofauti za Afrika ni hawa :” Dr. Carlos Lopes kutoka Guinea-Bissau, Dr Donald Kaberuka, kutoka Rwanda, Strive Masiyiwa kutoka Zimbabwe, Cristina Duarte kutoka Cabo Verde, Amina J. Mohammed wa Nigeria, Dr. Vera Songwe kutoka Cameroon, Tito Mboweni kutoka Afrika Kusini, Mariam Mahamat Nour kutoka Chad, na Dr. Acha Leke wa Cameroon.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.