kwamamaza 7

Rais Kagame amepana msamaha kwa wasichana na wake walio toa mimba

0

[ad id=”72″]

Jana ijuma tarehe 9 Disemba 2016, rais Paul Kagame aliongoza mkutano wa mawaziri kwenye kikao cha “Village Urugwiro” na hapo ndipo aliwajulisha kwamba amewasamehe wasichana na wake ambao waliazibiwa na sheria kuhusu utoaji wa mimba.

Mkutano wa mawaziri ulianza wakitakiana Krismasi njema na mwaka mpya wa 2017, rais Paul Kagame naye aliwatakia mwaka wa 2017 kuwa mwaka wa amani na mafanikio kwa wote wanaounda serikali.

Mkutano wa mawaziri umehakikisha ukuwepo wa kufunguliwa kwa muda kwa wafungwa wapatao 814 wanaojaza wanaoulizwa katika kitabu cha sheria No 30/2013 ya tarehe 24/05/2013 kuhusu mashitaki na mahakama.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.