kwamamaza 7

Rais Kagame ameomba Waafrika kujenga miji ya kisasa

0

Rais wa jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame leo tarehe 10 Mei alianzisha mkutano kimataifa kuhusu teknolojia ijulikanayo kama Transform Africa 2017, akiomba nchi za Afrika kuharikisha na teknolojia katika bara hilo katika miji tofauti.

 Walioshiriki mkutano wa Transform Africa 2017 ni rais waTogo, Faure Gnassingbé, waziri mkuu wa Sao Tome, Patrice Emery Trovoada, kiongozi wa kituo cha teknolojia, ITU, Zhao Houlin na UNESCO, Irina Bokova pamoja na viongozi wengine wa miji ya Afrika.

Rais Kagame alisema kwamba nchi za Afrika sherti ziharikishe kwa bidii kwa kujenga miji ya Afrika kwa sababu hua na wakaaji wengi ukilinganisha na mahali pengine ulimwenguni na aliongeza na kusema kuwa miji ya Afrika haina teknolojia.

Alisema ni lazma teknolojia ifikiye wote bila ubaguzi eti “kuna kuwafikishia wakina mama na dada teknolojia kwa sababu wamebaki nyuma kama matajiri na maskini, vile wenye kuishi mjini kama vile vijijini, kubadilisha Afrika inamaanisha kubadili maisha ya wanaoishi Afrika”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mkutano wa Transform Africa 2017 una lengo la kutia ngufu kwa kujenga miji bora ya kisasa katika bara la Afrika hata walionyeshewa mipango mipana kuhusu lengo hilo “ Africa Smart Cities Blueprint”.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.