Swahili
HABARI

Rais Kagame ameomba viongozi walio pewa majukumu mapya kutumika kwa umoja

Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame ameomba viongozi walio pewa majukumu mampya leo tarehe 8 Februari 2017, kuwa na uhusiano na kufanya kazi kwa umoja ili kufikia maendeleo kamili.

Ujumbe alio utowa kwa wale ambao walikuwa katika shereha ya kuapia majukumu mapya wakiwa kati kikao cha mabunge ya Rwanda, rais Kagame eti “ nafasi nchi inapotoka tunapajua na iendapo tunapajua inabidi sote tutumike kwa pamoja ili tufikie maendeleo”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame amehakikishia viongozi walioapa kuwa hawatatumika peke yao ila wapo wengine kwa kusaidiana.

Walio fanya kiapo ni:

Dr Richard Sezibera, Jean Bosco Mutangana, Richard muhumuza, Prof. Shyaka Anastase pamoja na Dr Usta Kayitesi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com