kwamamaza 7

Rais Kagame amempokea “Infantino” kiongozi wa FIFA

0

Infantino na rais Kagame walizungumzia kwenye kikao cha shule la mafundisho ya kijeshi huko Gabiro katika wilaya ya Gatsibo mahali ambapo kuna kikako cha 28 cha viongozi wakuu wa  nchi Rwanda.

Kiongozi wa chama cha soka ulimwenguni (FIFA), yupo kwenye ziara ya kazi Rwanda tangu tarehe 25 Februari 2017, akiwa na lengo la kutia jiwe la msingi mahali patakapo jengwa hoteli ya chama cha soka Rwanda (FERWAFA) na walipewa msaada na FIFA.

Alitembelea kumbukumbu la ukumbusho wa mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi Kigali na kuwaheshimu walio poteza maisha mwaka wa 1994.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.