kwamamaza 7

Rais Kagame amefurahia kua nchi za “Smart Africa” huongezeka

0

Rais wa Jamhuri wa Rwanda, tena kiongozi mkuu wa umoja wa Smart Africa ameomba nchi za Afrika kutia ngufu katika teknolojia kwani ndio chanzo cha maendeleo kamilifu.

Alipo anzisha mkutano wa uongozi wa Smart Africa huko Ethiopia, rais Kagame amesema kuwa kundi hilo limefanya mwaka moja na limetia ukatibu tena hutoa misaada kwa raia wa Afrika kwa ajili ya kujifunza teknolojia.

Alishukuru kuwa nchi zilitia mhuri kwenye mkataba wa kuelekeza mbele mpango wa teknolojia wa Smart Africa na huendelea kuwa nyingi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

eti “kundi letu tulilianza na nchi 7, tayari hivi ni nchi 17, hii kuendeleza teknolojia ni mabadiliko katika maendeleo na kufanikiwa kwa wakaaji wetu”.

Rais aliomba nchi za Afrika kwenda pamoja na maendeleo ya ulimwengu kwa sababu mabadiriko yameanza kupitia kiwanda cha nne, na hayo ni nyuma.

Rais Kagame ametangaza kuwa maendeleo ya teknolojia ya Afrika, Transform Africa 2017 itakuwa tarehe 10-12 Gicurasi 2017.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Smart Africa ni kundi ambalo huongozwa na rais Kagame likiwa na lengo la kuchunguza na kutia katika matendo mkataba uliotiwa saini Kigali tarehe 31 Oktoba 2013, na kukubaliwa katika mkutano wa ujumla wa 22 wa AU, wa tarehe 30-31 Januati 2014.

Mkataba huo una lengo la kuhamasisha teknolojia katika mipango ya serikali, kuwafikia raia kwa huduma bora hata kwa wafanya biashara.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.