kwamamaza 7

Rais Kagame alishukuru Global Fund kwa ajili ya matumaini ya maisha ya Wanyarwanda

0

Rais wa jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame, alishukuru msaada unao tolewa na Global Fund kwa ajili ya afya ya Wanyarwanda na kupanda ngazi ya matumani kiwango cha miaka 20.

Alisema neno hilo wakati wa mkutano wa viongozi wa global fund ya 37 wakiwa pamoja na wanamemba wake 260 leo tarehe 3 Mei 2017.

Eti “ Kupanuka kwa Global Fund ulileta mengi kwa ajili ya maendeleo ya afya Rwanda, mtu akisema global fund ni msaidizi malumu ni ukweli”.

Alifafanua kuwa Global Fund inaendelea na kupambana na tatizo tofauti ulimwenguni na hutatua bila kukawa kwa sababu ya ushirikiano.

Kiongozi mkuu wa kiwanda, biashara ya “Global Fund”, Prof. Osamu Kunii, jana tarehe 2 Mei 2017 akiwa pamoja na kundi analo ongoza walifikia kituo cha afya Gikondo na wakashukuru jinsi Rwanda hutumia vema misaada wanayo pewa.

Prof. Osamu alisema kuwa Rwanda ni mfano bora wa kuonyesha watoao misaada kipesa ili iweze ongezeka.

Alisema kuwa wahusika na wanao stahili misaada na kwa wenye kuwa ukimwi hutumia kwa moyo wa upendo, Rwanda ni nchi ya ajabu si kwa kuzua uchumi pekee ila na kupungua vifo vya watoto wenye umri mudogo na mengine.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.