Swahili
Home » Rais Kagame alipokea waziri mkuu wa Ethiopia
HABARI MPYA

Rais Kagame alipokea waziri mkuu wa Ethiopia

Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame akiwa pamoja na mke wake walipokea waziri mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn akiwa pamoja na mkeo, Roman Tesfaye walio kuja Rwanda katika ziara kikazi siku tatu tangu tarehe 27 April 2017.

Inatarajiwa kuwa waziri mkuu Desalegn atatembelea mambo tofauti ya maendeleo katika wilaya ya Rwamagana.

Rais Kagame alikua  Ethiopoa mwezi Februari katika mkutanao wa 28 wa nchi zinazo unda Umoja wa Afrika.

Katika maongezi ya rais  Kagame pamoja na waziri mkuu, Desalegn, wakati huo walijali siasa ya wilaya na Afrika, Rais alisema kwamba ushirikianao kati nchi hizi itatatua mambo mengi kuhusu maisha mema na uchumi kati yao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rwanda pamoja na Ethiopia hushirikiana katika ngazi tofauti pakiwemo ya kijeshi, biashara, usafirisaji wa anga, elimu na mengine.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com