kwamamaza 7

Rais Kagame aliongoza mkutano kwa ajili ya mabadiliko ya AU

0

Jana tarehe 7 Mei 2017, rais Kagame aliongoza mkutano kwa ajili ya mabadiliko ya Umoja wa Afrika, walio shiriki ni mawaziri wa uhusiano na mataifa wa nchi ziundazo bara la Afrika.

Alifafanua jinsi wakuu wa nchi za Afrika walikamata maamzi tofauti ili AU isonge mbele bila kujali misaada kutoka mataifa mengine yenye bara zingine.

Eti “ripoti  iliyotolea haiku mafikara yenye ilijileta, pamoja na kundi la washauri tulifikilia jinsi mabadiliko ya AU yawezekana, ila njia ni ndefu, si lazima kukata tamaa na kupoteza bahati tunayo na usamini wetu”.

Rais Kagame alifafanulia walio shiriki mkutano kwa kutoa msaada upatao 0.2% kutoka kila nchi katika mafanikio ya ushuru itawezesha Afrika kuwa huru na kujiongoza bila kutegemea misaada”.

Aliwaomba mawaziri wa uhusiano na mataifa kufikisha mabadiliko ya AU kwa kila raia wa nchi walipo toka na kuwakumbusha jinsi wa Afrika sherti wajenge umoja, kwa kutoelewana ndio inasukuma bara la Afrika kubaki nyuma.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.