kwamamaza 7

Rais Kagame ahudhuria mazoezi ya jeshi la Rwanda

0

Rais Paul Kagame, Jana 4 Novemba 2016, alihudhuria mazoezi ya kijeshi yalipatikania katika kambi la wanajeshi la Gabiro, Wilayani Gatsibo ; mkoani mashariki.  Mazoezi yalikuwa ya kiwango cha kwanza katika jeshi la Rwanda, RDF.

[ad id=”72″]

Mazoezi ya RDF yalikuwa na lengo ya kujenga na kuimarisha jeshi la Rwanda pamoja na kuongeza uwezo na taaluma ya kufikia lengo ya kazi. Lengo kuu ilikuwa kujaribia uwezo wa wanajeshi.

30736174006_3cd66c0c92_z

 

Mafunzo ya kijeshi tena yalikuwa na lengo la kuonyesha mipango ya pamoja na uwezo wa jeshi angani, vikosi maalum (special forces) na kuwasaidia wanajeshi wengine.

Baada ya majaribio, rais Kagame alihudhuria mkutano na viongozi wa wanajeshi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.