Home HABARI MPYA Rais Kagame ahudhuria kazi za kijamii kwa jina la ‘Umuganda’
HABARI MPYA - October 28, 2017

Rais Kagame ahudhuria kazi za kijamii kwa jina la ‘Umuganda’

Rais Kagame ahudhuria kazi kijamii kwa jina la ‘Umuganda’ wilaya Kicukiro,mashariki mwa miji wa Kigali ambako kunajengwa shule.

Katika hotuba yake,Rias Kagame amesema kuwa Umuganda una umuhimu sana na kuwa Wanyarwanda hawana budi kuendelea kuendelea kuendelea kujenga nchi yao ili miundo mbinu kama vile umeme,maji,shule ziwafikie wakazi wote.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame amekumbusha wakazi kuwa mchango wao ni msingi mkubwa na kuwahamasisha mwenendo mzuri wa kuungana mkono na kufanya kazi kwa bidii na ukakamavu kwa kufikia maendeleo kwa kuwa hakuana kizuwizi chochote.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Viongozi wengine wameungana mkono na wakazi wa wilaya nyingine kama Ruhango na Nyanza,kusini mwa nchi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.