kwamamaza 7

Rais Kagame afunguka kuhusu mashtaka ya kudungua ndege ya Rais Habyarimana

0

Rais Kagame katika filamu kwa jina la ‘The Royal Tour’ amekanusha madai ya wanaomshtaki kuidungua ndege aliyokuwemo Rais Juvenal Habyarimana na mwenzake wa Burundi Cyprien Ntaryamira.

Rais Kagame akizungumza na mtangazaji Greenberg

Akijibu suali la mtangazaji Peter Greenberg kwamba kuwa ndiye aliyedungua ndege ya Habyarimana  ilipokuwa karibu na uwanja wa ndege wa Kanombe mjini Kigali, Kagame amesema kuwa hakubaliani na wale  wanaomshitaki tukio hili.

“Sikubaliani nao”

[xyz-ihs snippet=”google”]

Huyu kiongozi amesema kuwa ni ukweli kwamba mauaji ya kimbali yalianza baada ya kifo cha Rais Habyarimana.

“Ndiyo,hapo hapo”

“Kulianza mauaji  nchini kote”

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katika hii filamu mtangazaji Greenberg anazungumzia namna ambavyo Kagame alikuwa na cheo kikubwa katika jeshi la Uganda lakini akakubali kurudi nchini Rwanda.

Pia hii filamu inazungumzia kidogo kuhusu vita vya kuikomboa nchi  mwaka 1990.

Hii si mala ya kwanza Rais Kagame akikanusha kuidungua ndege ya Habyarimana terehe 6 Aprili 1994.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

https://youtu.be/uwcDRrkP3GE

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.