kwamamaza 7

Rais Kagame afunguka kuhusu atakayechukua nafasi yake

0

Rais Paul Kagame ametangaza ataendelea kutoa msaada wake baada ya kuondoka madarakani ili Rwanda iendelee kusimama wima kimataifa.

Akiwa katika mahojiano ya  Ibrahim Governance Weekend mjini Kigali,Rais Kagame ameeleza hatakuwa kama wengine ambao hawafanyi kazi lakini wakaendelea kuongoza kisha wakaenda bila matokeo.

Huyu kiongozi  amesema hana uwezo wa kuamua kuondoka madarakani kwani aliwahi kuwa nao lakini wengi wakamtaka kuendelea kuongoza nchi.

“Mpango wa kuondoka madarakani si wangu,ungelikuwa wangu nisingelikuwa hapa kama nilivyokuwa  nikitaka”

Nilikuwa nikitaka kuongoza mamlaka mbili kama nilivyokubaliwa nikaondoka zangu, lilikuwa tumaini zangu kwani nimeridhika moyoni”ameongeza

Rais Kagame alichaguliwa kuongoza mamlaka ya tatu yenye miaka saba mwaka 2017 kwa kura  asilimia 98.7

Ikumbukwe kwamba Kagame alikuwa Rais wa Rwanda tangu mwaka 2003.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.