kwamamaza 7

Rais Kagame afunguka alichojiuliza kabla ya kuanza mambo ya siasa

0

Rais Kagame  ameweka wazi masuali aliyojiuliza kabla ya kuanza mambo ya siasa.

Kwenye siku ya kwanza ya mkutano wa ‘Transform Africa 2018’ Kagame ameweka wazi alijiuliza atafanya nini katika siasa na yale ambayo yanastahili kujitokeza kwenye mstali wa mbele.

“Niliona kwamba katika serikali ama siasa,inastahili kuwasidia wakazi kuweza kufanya yawezekanayo kuanzia kwenye mambo yakiwemo biashara.Jambo la kwanza kwangu lilikuwa kuwezesha biashara katika nchi yangu” amesema.

“Barani Afrika, kunahitaji  haya mawazo ya kuwezesha biashara bora na kumpa fursa yeyote kutoa mchango wake”ameongeza

Rais Kagame amesisitiza Afrika haina budi kushirikiana ili kujenga mtindo wa kuwezesha utekelezaji wa mambo mengine.

Mkutano wa ‘Transform Africa 2018′ umehudhuriwa na watu karibu 4,000 kutoka nchi 80 mbalimbali duniani.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song update

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.