kwamamaza 7

Rais Kagame aeleza ilivyombidi kukaa chini kwa kubabaishwa na sokwe mtu

0

Rais Kagame kwenye sherehe ya kuita majina sokwe mtu 19”Kwita Izina”ameleza kisa kati yake na sokwe mtu aliyemuvamia kwa kulinda watoto wake.

Rais Kagame akisimulia kisa chake na sokwe mtu

Katika hotuba yake,Rais Kagame ameshangaza wengi baada ya kusimulia namna ambavyo sokwe mtu kwa jina la Silver Back alimushambulia miaka 14 iliyopita na kuwa ilimbidi kukaa chini,kwa upole ili atulize hasira za mnyama huyo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame amesema”Sijawahi kusimulia stori hii,(…)Silver Backer kwa hasira alikuja ili kulinda mwana we,afisa wa mbuga alituambia kukaa chini ili kuonyesha kuwa hatutaki kupambana(…)”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais amendelea kwamba Jambo ambalo lenye ucheshi  ni kuwa mwezake  alimunong’onezea  akimuuliza kwa nini hakuambia sokwe mtu kwamba yeye alikuwa rais wa jamhuri  na kuwa hasitahili kumubabaisha.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.