kwamamaza 7

Rais Kagame na mwenzake Museveni waalikwa kuhudhuria sherehe ya mtangazaji Andrew Mwenda

0

Rais wa Rwanda Paul Kagame na mwenzake wa Yoweli Museveni wamealikwa kuhudhuria sherehe ya kumshukuru Mola ya mtangazaji Andrew Mwenda, eneo la Fort Portal,magharibi mwa nchi.

Afisa kwa wajibu wa mawasiliano na vyombo vya habari ikuluni,Lindah Nabusayi ametangazia Chimpreports kuwa Rais Museveni atasherekea pia.

Chimpreports imefichua kwamba huyu mtangazaji Andrew Mwenda alimualika pia Rais wa Rwanda ila hadi leo asubuhi haijahakikishwa kwamba Rais Kagame atakuwepo kwenye sherehe hii.

Mwenda ni ami ya Brig.Kayanja Muhanga na mbunge wa eneo la Burahya,Margaret Muhanga.

 

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.