kwamamaza 7

Rais Donald Trump amesaini kutopana misaada ya utowaji mimba

0

Rais wa Marekani, Donald Trump amesaini sheria ya kutopana na kusimamisha misaada ambao Marekani ilikua ikitoa kwa ajili ya utoaji mbimba na uhamasishaji.

Musemaji wa rais Trump, Sean Spicer amesema kuwa sheria hio huonyesha kuwa rais mpya wa Marekani anatekeleza Wamarekani wote na watoto watakao zaliwa wakiwemo.

Si mara ya kwanza sheria hio ijulikanayo kama Mexico City Policy, kutiliwa mkazo, mara ya kwanza lilitiliwa mhuri na rais Ronald Reagan wa chama cha ripablikani munamo mwaka wa 1984. Baada ya hapo sheria hio ikatolewa wakati wa demokrate kwa utawala wa Bill Clinton.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Sheria hio hutoa uito kwa makundi yanayo saidiwa na Marekani kutotoa mimba wala uhamisishaji wa utowaji wa mimba kama vile suluhisho la kupanga uzazi.

Utawala wa George W. Bush, utowaji mimba ulikubaliwa, ila katolewa tena na rais Obama mwaka wa 2009.

Rais Trump amesaini sheria hili baada ya siku wanawake wakiandamana wakiomba kutii haki zao kama vile husema bbc.

Wakati wa kampeni za uchaguzi alisema kuwa yeye hakubali utoaji wa mimba, ijapokuwa wakati msichana wala mke wakibakwa, wala kuwa na ngono na uhusiano wa karibu kifamilia yaweza kutokea vifo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.