Raia wa Uganda wengine  hasa wa chombo cha habari  cha serikali,The New Times na Benki ya Kigali wamefutwa kazi

Waliofutwa kazi kuna watangazaji Hamuza nkutu, Steven Nuwagira, Angel Musinguzi, mwandishi mkuu wa habari, James Tasamba na mpiga picha mkuu Timothy Kisambira.

Kupitia  barua ya tarehe 29 Machi 2018,Mkurugenzi wa The NewTimes, Collin Haba amewambia waliofukuzwa kuwa ni sababu ya uwezo wa mali ulioko.

Taarifa za Chimpreports ni kwamba hili ni baada ya kumfukuza Arthur Baguma aliyekuwa  baadhi ya wandishi wakuu bila sababu zinazoeleweka.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pengine taarifa hizi zinaeleza kuwa kuna raia wa Uganda aliyefukuzwa na benki ya Kigali bila kufuatilia kanuni za kazi.

Wachambuzi wa masuala ya kisiasa kati ya Rwanda na Uganda wameeleza kuwa  hili ni kipingamizi cha ushrikiano kati ya hizi nchi kwa kuwa ni kinyume na makubaliano kati ya marais wa hizi nchi mbili

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ikumbukwe kwamba  raia wa Uganda walifutwa kazi mala ya kwanza mwaka 2017 wakiwemo Vivian Igunduura aliyekuwa afisa wa ECOBANK na  Beatrice Kibwika Kantono aliyekuwa afisa wa MTN.

Ushirikiano kati ya Rwanda na Uganda ulianza kuwa ovyo mwezi Agosti 2017 ambako Uganda ilishataki Rwanda kuwatesa wakimbizi asili ya Rwanda,upelelezi na mengine.Hata hivyo,serikali ya Rwanda ilikanusha haya mashtaka.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.