kwamamaza 7

Raia wa Rwanda wengi huenda pata kazi katika kampuni ya Volkswagen

0

[ad id=”72″]

Tarehe 21 Disemba 2016 serikali ya Rwanda pamoja na kampuni ya Ujerimani ijulikanayo kwa jina la “Volkswagen” wamefanya mkataba wa kuanzisha kiwanda chini Rwanda ya kuunganisha motogari.

Mkataba huo umetiwa muhuri na kiongozi wa Volkswagen wa Afrika ya Kusini pamoja na kiongozi wa kikao cha maendeleo nchini Rwanda RDB,  Amb. Francis Gatare.

Schaefer amesema kwamba tangu January 2017 wanakwenda kuona la kufanya kwani Rwanda inakua nchi ya inne baada ya Afrika ya kusini, Nigeria na Kenya.

Eti “tunaamini ya kwamba kujenga kiwanda nchini Rwanda itakuwa hatua kubwa ya maendeleo kwa nchi na kwa ujumla katika Afrika”.

Inatarajiwa mwaka ujao wa 2017 kufikia mwisho kampuni itakuwa ikiunganisha motogari hizo ambazo wameanza kuzifanya wakiwa Rwanda.

Kiwanda ya Volkswagen iko na kikao  katika mji wa Wolfsburg huko Ujerimani na imefungua milango mwaka wa 1937 na ndio kampuni ambao hutengeneza mitogari nyingi ulimwenguni.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″][ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.