Swahili
Home » Raia wa Rwanda wawili wajitokeza kwenye orodha ya watu 100 wenye ushawishi mkubwa barani Afrika
HABARI

Raia wa Rwanda wawili wajitokeza kwenye orodha ya watu 100 wenye ushawishi mkubwa barani Afrika

Raia wa Rwanda wawili kwa majina ya Jean Bosco Nzeyimana na Sonia Mugabo ndio ambao wanaonekana  kwenye orodha ya pili ya vijana wenye ushawishi barani Afrika (AYA) mwaka 2017.

 

Orodha inayonyesha vijana wa Afrika ambao wana ushawishi mkubwa kuzidi wengine

Hawa wamefikia haya kwa kuwa Sonia Mugabo ni msanii wa mitindo ya kuvalia aliyetia fora nchini Rwanda hasa kwenye hoteli Marriot anakojulikana kama SM

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia,mwenzake Jean Bosco ni mwanzilishi wa kiwanda ‘Habona Ltd’ ambacho kazi yake ni kukusanya taka na kuzalisha kaa kwa jina’Briquette’,gasi na mbolea.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Orodha inaonyesha kuwa vijana wa Nigeria ndio wenye ushawishi mkubwa kuzidi wengine barani Afrika na watu 19

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengsho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com