Swahili
HABARI

Raia wa Rwanda walio ishi ukimbizini Congo wamerejea kwa uwingi

Tangu tarehe 20 Februari, raia wa Rwanda walio ishi ukimbizi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, bila mkazo wameamua kurudi, kundi la kwanza kuingia Rwanda ilikuwa watu 100, na walitumia mpaka ujulikanao kama Grande barriere Goma kama vile taarifa ya HCR husema.

Tendo la kurejea katika nchi ya ukoo hutayarishwa na umoja wa mataifa wanao husika na wakimbizi HCR, wakiwasiliana na serikali ya Congo na Rwanda. Na wengine wengi ambao wanahitaji kurejea wanasubiri kwenye orodha ili wafikiwe siku za usoni.

Wakimbizi hao wamefanya miaka mingi wakiwa ukimbizini na wakipata shida la kuwasiliana na raia wengine, kwa ajili ya kuwasaidia maisha ya mwanzo watakuwa wakipewa pesa, wakubwa wakipewa dolla za Marekani 250, na vyakula wanavyo pewa na PAM kwa muda wa miezi tatu, ila watoto watakuwa wakipewa dolla 150 na chakula miezi tatu.

Mwaka wa  2016, HCR iliweza kuwarejesha wakimbizi wa Rwanda 6.000 walio toka Goma na Bukavu.

Mwaka wa 2015, HCR ilihesabu wakimbizi wa Rwanda 42.000 ambao waliishi Congo. Kurejesha wakimbizi kawaida kuliandaliwa na HCR na viongozi, tendo tofauti na walio kuwa wapiganaji.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com