kwamamaza 7

Raia wa Rwanda ameitwa mfalme wa mabao Cambodge

0

Aliye kuwa mshambuliaji wa timu ya taifa la Rwanda “Amavubi”, Atuheire Kipson anaendelea kuwa mshambuliaji mwema katika michuano ya kombe la Cambodge, alifunga mabao 4 katika mchezo wake wa kwanza na ndipo akapewa jina la mfalme wa mabao.

Kipson Atuheire alitoka Rwanda mwaka wa 2015 akielekea Preah Khan Reach Rieng FC ( FC Svay) timu ya kitua cha kwanza nchini Cambodge.

Mwaka wa mchezo nenda alikuwa mshambuliaji wa pili na mabao 12 katika michezo 18, na timu yake ambao haikujulikana sana katika michuano ikachukuwa nafasi ya inne na alama 31.

Baada ya kuwa mshambulizi wa timu FC Svay Rieng miaka miwili, Atuheire aliuzwa na Naga World iliyochukuwa nafasi ya tatu mwaka nenda wa michezo. Kwenye mapambano ya timu yake mpya na Electricite du Cambodge (EDC FC), alifunga mabao 4 kwa 1.

Mabao yote 4 yalifungwa na kijana huo wa umri wa miaka 22 na ndipo gazeti ‘Khmertimeskh Times’ la Cambodge likamuita mfalme wa mabao.

Kipson Atuheire eti: “ninafurahia maisha yangu hapa. Watu wa hapa wanapenda soka, timu za hapa zinalipa vizuri, wachezaji raia wa Cambodge hupokea dolla 3000, wachezazi kimataifa ni zaidi ya hayo na hapa kuwa Waafrika wengi, wenzangu wa Rwanda waje tukafanye kazi kwa kuwa huku wapo wa ngazi ya kujenga mchezo wa soka”.

Kijana huo alichezea timu za Rwanda kama APR FC, Police FC, Musanze FC na timu ya taifa “Amavubi” na alisema ya kuwa wachezaji wa Rwanda wanajua kucheza ila hawakubali maongezi na wanao husika na kuchua wachezaji kimataifa (Agent).

Naga World FC Kipson ambao anaichezea ipo katiaka mji wa Phnom na hutumia uwanja wa Phnom Penh National Olympic stadium na ipo na uwezo wa kuwapokea watu elfu 17.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.