kwamamaza 7

Raia wa Rwanda 6 wataongoza michezo ya Afrika

0

[xyz-ihs snippet=”google”]

Umoja wa mchezo wa soka Afrika “CAF” tayari wamehakikisha kuwa waamzi wane na kamishina wawili wa Rwanda kuongoza michezo ambao hutarajiwa kuanza mwezi Februari mwaka huu.

Hao waamzi ni Abdoul Karim Twagiramukiza, Ambroise Hakizimana, Honore Simba pamoja na Ruzindana Nsoro watakao ongoza mchezo wa kwanza wa michezo ambao utakutanisha timu zilizotwaa kombe katika nchi zao, “CAF Confederation Cup” na timu hizo ni Defence FC ya Ethiopia na Yong Sports Academy de Bamenda kutoka Cameroun, kati tarehe 10-12 Frebruari 2017, watakuwa na kamishina  Mike Letti kutoka Uganda.

Kamishina Aaron Rurangirwa yeye ataongoza mchezo wa Platinum Star Fc kutoka Afrika Kusini na União Desportiva do Songo kutoka Mozambique ya “CAF Confederation Cup” tarehe 11 Februari 2017 kwenye uwanja wa Rustenburg/Royal Bafokeng Stadium.

Kamishina Gaspard Kayijuka ataongoza mchezo wa Enugu Rangers yaNigeria na Jeunesse Sportive de la Saoura ya Cote d’Ivoire ya CAF Champions League katika wiki ya 11-19 Februari 2017.

[xyz-ihs snippet=”google”]

APR FC iliyo twaa kombe la Rwanda mwaka jana itachuana na Zanaco yo muri Zambia, mchezo wa kwanza utakuwa Zambia, na mchezo wa kulipa utakuwa Kigali kwenye uwanja wa Amahoro tarehe 18 Februari 2017.

Mchezo huo utaongozwa na waamzi wane kutoka Burundi wakiwa; Pacifique Ndabihawenimana, Herve Kakunze, Gustave Baguma na Thierry Nkurunziza. Kamishina ni Ahmed Mohamed Megahed Osman kutoka Misri.

Rayon Sports itacheza na Al Salam Waw ya Sudani ya Kusini kati mchezo wa CAF Confederation Cup.

Mchezo huu utaongozwa na waamzi wane kutoa Ethiopia; Haileyesus Bazezew Belete, Kinfe Yilma Kinfe, Shewangizaw Tebabal Tadesse na Yemanabran Kassaun na kamishina ni Amir Abdi Hassan kutoka Somalia.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.