Swahili
Home » Raia wa Nyagatare wamemsubiri rais Kagame kwa shangwe na furaha
HABARI MPYA

Raia wa Nyagatare wamemsubiri rais Kagame kwa shangwe na furaha

Wakaaji wa kata ya Matimba, wilaya ya Nyagatare wametangaza ya kuwa leo tarehe 13 Februari 2017 watampokea rais Paul Kagame kwa shangwe na furaha.

Raia hao wamesema ya kuwa ni wakati mwema wa kumushukuru kwa ajili ya yote walio yafikia na kumwambia tatizo linalowasumbua kwa maisha ya kila siku.

Rais wa Jamhuri atatembelea tarafa ya Matimba na Karangazi, hayo yalitarajiwa mwaka jana mwezi April tarehe 29 ila haikufaulu kwa sababu ilikuwa wakati wa mvua nyingi katika wilaya hio.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wamoja wao wanasema ya kuwa waliamka mapema ili waweza pata nafasi nzuri ya kuketi katika uwanja wa Matimba, wengine walibali mipango yao, kuna wenye wangelisafiri kwenda nchi jirani kufanya biashara yao, ila wameamua kwenda juma inne akiisha toka Matimba.

Raia wa wilaya ya Nyagatare wanamshukuru rais kwa ajili ya usalama, kuwa Rwanda imepanua mipaka na kuwa na uhusiano mwema na nchi zingine, kuishi katika manyumba mazuri, kuwajali wamaskini na kazalika.

Inatarajiwa wakaaji zaidi ya 20.000 wa wilaya ya Nyagatare na kando kuja kuzungumza na rais, na uongozi wa wilaya husema kila yeyote akakaye kuwa na swali kuhusu rais atapewa nafasi bila shaka ili aweze kuswali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com