Swahili
Home » Raia wa DRC wanafurahia usalama wa mali zao katika benki za Rwanda
HABARI

Raia wa DRC wanafurahia usalama wa mali zao katika benki za Rwanda

Wakaaji watokao katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanasema kuwa wanaamini usalama wa Rwanda na ndio sababu wanavuka mpaka kuja kuweka pesa zao katika benki za Rubavu.

Wakaaji hao ni raia wa Goma na wanafanya biashara yao huko, na kila mara wanavuka mpaka kwenda kuweka mali yao Rwanda, kwa kuwa kila mara wanahofia kuwa muda kwa muda waasi waweza haribu usalama na kupoteza pesa zao wakiweka katika benki za Goma.

Muhoza Aisha, ni mkaaji wa Goma, katika jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, amehamasisha kuwa usalama wa Rwanda ndio unawasukuma kuja kuweka pesa zao kati nchi ya Rwanda, kwa kuwa husema kama kwao wakati mmoja yawezekana majambazi kuchoma na kuharibu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rwangeyo Gerard, kiongozi makamu wa benki ya Kigali, katika wilaya ya Rubavu, amesema kuwa kati wateja ambao wanawapokea kila siku kuna hata wanaotoka jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wakija kuweka pesa zao na wengine ambao wanazuiliwa huwatuma wenzao kuwawekea pesa zao pia kama husema imvaho

Katibu Patrick Abega amesema kuwa maisha Goma ni magumu kama maji, umeme na mahali pa kuishi, ndio sababu wamoja hufanya kazi zao Goma na wanarudi kuishi Gisenyi.

Utafiti katika uchumi huhakikisha kwamba mambo hayo yashusha uchumi wa Congo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com