Home HABARI Raia wa Burundi 6 wakamatwa wakijaribu kuuza kilo 300 za kahawa nchini Rwanda
HABARI - August 30, 2017

Raia wa Burundi 6 wakamatwa wakijaribu kuuza kilo 300 za kahawa nchini Rwanda

Raia wa Burundi 6 wamekamatwa kwenye mlima wa Runyinya,wilaya ya Kabarore nchini Burundi wkijaribu kuvuka mpaka kinyume na sheria wakiwa kilo 300 za kahawa ya kuleta nchini Rwanda.

Raia wa Burundi waliokamatwa

Hawa ni Gervais Nyandwi,Audace Nizeyimana,Therence Mizero,Jean Nzigiyimana,Paul Ndereyimana na Boniface Nsengiyumva wamehamishwa kwenye uendesha mashtaka wa Kayanza.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Akizungumza na ABP(Agence Burundaise de Presse),gavana wa mkoa wa Cibitoke,M.Joseph Iteriteka amaetangaza kuwa uuzaji wa kahawa kutoka Burundi nchini Rwanda ni hasara mno.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ni baada ya serikali ya Burundi naya Rwanda kupiga marufuku ufanyabiashara wowote kwa sababu za kisiasa.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.