Swahili
HABARI SIASA

Raia wa Burundi 40 wanaotuhumiwa kuwa wapelelezi wafukuzwa nchini Rwanda

Raia wa Burundi ambao wamefukuzwa nchini Rwanda

Raia wa Burundi 47 wamefukuzwa nchini Rwanda jumamosi hii baada ya kutuhumiwa kuwa na uhusiano wa mambo ya upelelezi.

Raia wa Burundi ambao wamefukuzwa nchini Rwanda kwa kutuhumiwa kuwa wapelelezi

Raia wa Burundi hawa baada ya kukaribishwa na kiongozi mkuu wa polisi ya mkoa wa Kirundo wametangazia radiyo sauti ya marekani kuwa walitiwa gerezani kwenye mpaka wa Rwanda na Tanzania wakati wa miezi 2.Mmoja wao amesema kuwa alihama nchini Rwanda mwaka 2000 na kuwa alikamatwa alipoenda kwenya kituo cha tarafa kulipa ushuru na kasha akapelekwa kwenye wilaya ya Kirehe,Amefafanua”Nilikamatwa tarehe 14 mwezi July na kunitia garini wakisema kuwa kuwa sisi siyo wakimbizi baali ni wapelelezi kwa kuwa tunaishi nchini bila vitambulisho”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hawa wameongeza kuwa walikuwa wakifanya mbalimbali ili kujitunza na kusema kwamba wamerudishwa kwao bila chochote kutoka mali yao waliyoimiliki nchini Rwanda.

Hii siyo mala ya kwanza Rwanda kuwafukuza raia wa Burundi kwa kuwa mwezi wa June mwaka huu Rwanda iliwafukuza raia wa Burundi 90 waliokuwa nchini bila vitambulisho.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com