kwamamaza 7

Raia 12 wa Burundi wamekamatiwa Rwanda wakienda kuuzwa

0

Tarehe 10 Januari 2017, polisi ya Rwanda wamekamata watu 12 wenye ukoo wa Burundi huko Kanyaru wakienda kuuzwa katika nchi za mbali.

Hao wote 12 walikua wamesindikizwa na mwenzao wa Burundi, badhi kuwapokeza raia wa Kenya 2 ambao nawo wako mbaroni nchini Rwanda.

Musemaji wa polisi ya Rwanda, CSP Lynder Nkuranga eti “ walipo fika mpakani walikuta ngazi za usalama, walipo waona jinsi walivyo wakaona kuwa si kawaida watu kama hao kwenda pamoja, walipata taarifa na kuchunguza wakawapata walio kuja kuwasubiri na kuwakamata”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

CSP Nkuranga ameendelea na kusema kuwa kufanya biashara ya watu hapo Rwanda si vyepesi, ila walioshikwa ni nchi zingine ambao hutamani kutumia njia ya Rwanda kwa kuwavukisha mipaka.

Wamoja wao kati ya Warundi hao waliorudishwa wameshukuru ngazi za usalama wa Rwanda na serikali ilio wasaidia kutokwenda kuuzwa, ijapokuwa wao walifikiliwa kwenda kupata kazi njema.

Ndayikenze Asnah mmoja wao eti “inaotuacha kua mahali hapa ni kwa kua tulipofika mpakani tulipatwa na tatizo tukakamatiwa na tulikuwa tukienda kuuzwa, na kwenda kwetu, tuliambiwa kwenda kufanya kazi na tunaondoka tukifuata anuani za watu tusio wafahamu”.

Polisi ya Rwanda imesema kuwa wale ambao walikuwa wanakwenda kuuzwa watarejeshwa kwao Burundi, ila wanao husika kuwauzisha wamefikishwa mahakamni.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.