kwamamaza 7

Polisi ya Uganda yamtiya mbaroni msichana raia wa Rwanda

0

Mahakama makuu ya Uganda imeamuru polisi kumfunga Cynthia Munwangari anaye shutumiwa mauaji.

Munwangari, mwenye umri wa miaka 26, mama yeake ni raia wa Rwanda na baba yake ni raia wa Burundi alikua akihusika na kuonyesha mavalio kama kazi yake ya kila siku nchini Burundi, Rwanda na Uganda mahali anapofungiwa.

Pamoja na mpenzi wake Mathew Kanyamunyu, wanashutumiwa kupiga lisasi Kenneth Akena tarehe 12 Novemba 2016.

Munwangari pamoja na Matthew Kanyamunyu mwenye umri wa miaka 39, na Kanyamunyu Joseph wa miaka 40 wako ‘Jinja Road Police Station’.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.