Tarehe 23 Februari 2017 kiongozi wa polisi ya Rwanda IGP Emmanuel K Gasana  alimpokea mwenzake wa Uganda, Gen. Kale Kayihura pamoja na kundi analoliongoza wakija katika mkutano wan chi zote mbili wakiwa na lengo la kuhamasisha walio yasema katika mkutano uliofanyika Mbarara Oktoba mwaka nenda na kutia nguvu kwa kulinda makosa yanayo vuka mipaka.

Mikuttano hio hua kila miezi mitatu na kuangalia usalama wa mipaka ya nchi mbili na kutatua tatizo za hapo.

IGP Gasana eti:”Rwanda inafurahia undugu na uwasiliano kati ya polisi ya Rwanda na Uganda, si kwa sababu ni nchi jirani ila tunachangia usamini”.

Mkutano wa mbarara ulitia maamzi ya mbao 13 yakiwa kwa pamoja katika kupatiana taarifa kwa ombi la kiongozi wa polisi ya Rwanda.

Alionyesha yalio fikiwa toka mkutano wa Mbarara, IGP Gasana eti:”tulipeana taarifa, tuliwafundisha wana polisi wetu pande zote mbili, tuliwafundisha wanao ishi karibu ya mipaka pande zote mbili kwa ajili ya kupiganisha makosa, tuliulinda usalama na wafanya makosa wanao kimbilia nchi jirani wanakamatwa”.

IGP Gasana alisema ya kuwa makosa ya dawa za kulevya, uwizi wa mitogari, makosa yanao husiana na teknolojia na ubiashara ya kuuza watu ilisukuma kuwe uwasiliano kati hizi nchi mbili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Gen. Kayihura eti:” kwa ujumla usalama uli songa mbele ijapo kuwa kuna yale ambao hutembea pole pole kuhusu makosa yanao vuka mipaka, sherti tutie nguvu ili tupunguze”.

Kiongozi wa Polisi ya Uganda eti:” kwa kujenga uwezo, tunaombwa kufundishana na kuwa na elimu kati yetu kwa kupiganisha makosa ya teknolojia”.

Kwa kumaliza, viongozi wote wawili walihamasisha uwasiliano na kujenga mipango ya kupiganisha makosa yanayo vuka mipaka yanao onekena kila upande. Walihamasisha kupiganisha makosa kimataifa pakiwemo usafirisaji wa dawa za kulevya na dawa isiyo kubaliwa na kupeana taarifa kwa wakati.

Mkutano ulifurahia pia jinsi wana makosa kukimbila sehemu nyingine wanakamatwa, na yale amabyo yana ibwa upande moja na kwenda sehemu nyingine.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.