kwamamaza 7

Polisi ya Rwanda inashota kidole wanaofuga mbwa bila kuwajali

0

Baada ya kuwa mbwa huendelea kuuma watu na mafugo sehemu tofauti za nchi na kuvamia usalama wa watu, polisi ya Rwanda inatoa uito kwa wale wanaofuga mbwa kwao kuwalinda kutembea ovyo ovyo.

Mfano ni katika wilaya ya Huye ambapo mbwa ya Nyandwi Venuste, tarehe 22 April aliuma watoto watatu katika kiini Mugobore, tarafa ya Simbi na watoto hao walipelekwa kwenye hosptali ya Kabutare na mbwa akauawa.

Katika wiki hii nenda katika jimbo la Kusini mbwa wenye kutembea ovyo ovyo waliuma watu na mafugo, hapo ni katika wilaya ya Ruhango, tarafa ya Mwendo, katika wilaya ya Muhanga, tarafa ya Kabacuzi mbwa waliuma mbuzi nne na mbili wakafariki, wilaya ya Nyanza mbwa kama hao waliuma watu wawili.

Polisi ya Rwanda inakumbusha wanao fuga mbwa kuwajali na kuwalinda ili wasitembee ovyo na kuharibu usalama.

Alikumbusha wanao tembea na mbwa wakiwa na mkaba shingoni na kuwa vitambulisho ya kuwa mbwa hao hua na afya nzuri kama hawawezi ambukiza magonjwa kama sumu, na inaombwa watu wazima kukubaliwa kutembea na mbwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mtu ambaye anahitaji kufanya bishara ya mbwa sherti apewe kitambulisho au kibali kutoka katika kituo kinacho husika na maendeleo (Rwanda Development Board- RDB).

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.