kwamamaza 7

Polisi ya Rwanda imewafundisha walinzi wa gereza kuhusu ajali za umeme

0

Jana tariki 19 Januari 2017, walizi wa gereza wapatao 50 kutoka gereza 14 wameanza mafundisho ya kujilinda pia kuzuia ajali ya umeme, na kwa mwisho watafundisha wenzao, wanafuta mafundisho hao kwenye kikao cha gereza mjini Kigali kijulikanacho kwa jina la “1930”.

Brigadier General George Rwigamba, kiongozi wa juu anayehusika na wafungwa na kuwaadibisha, anafurahia uhusiano wa ngazi anayo ongoza na ngazi ya polisi ya Rwanda kwa ajili ya kuzuia ajali inayo ambatana na umeme.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Baada ya ajali ya umeme iliyopata gereza ya Kigali karibuni mwisho wa mwaka nenda, tumeandaa mafundisho haya ili watakayo fundishwa nao wafundishe wengine, namna ya kuzuia ajali ya umeme, na jinsi ya msaada ikitokea.

Assistant Commissioner of Police (ACP) Jean Baptiste Seminega, amesema kua mafundisho yapo kwa sehemu mbili, ikiwa ni kuzuia, kujilinda ajali za umeme na kupiganisha zikiwa zimefika.

Aliwaambia wakaaji kujikinga na hayo wakiweka mbali mafuta ya petroli na kuzimisha kila kitu mbele ya kulala.

Aliwaomba kuuza vifaa vya msingi kwa kuzima moto, wengine waweza weka karibu nao mchanga mkavu.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.