kwamamaza 7

Polisi kwa njia ya kupiganisha usafirisaji wa dawa za kulevya

0

Polisi ya Rwanda imetia nguvu kwa kupiganisha usafirisaji wa dawa za kulevya, na kufundisha wakaaji kuhusu matokeo mabaya, na kuwaazibu wote ambao hawasikiye mashauri.

Katika msako ambao hufanywa mahali tofauti, hukamata dawa za kulevya aina nyingi na kuziharibu ila wenyeji hufikishwa mahakamani.

Katika wilaya ya Gicumbi na Musanze, tarehe 25 Januari 2017, walifanya kitendo cha kuharibu dawa za kulevya ambazo zilikamatwa miezi nenda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wilaya ya Gicumbi waliharibu dawa za kulevya za pesa miliyoni 23 pesa za Rwanda, Musanze waliharibu dawa za 21, 911, 800 faranga ya Rwanda.

Kiongozi wa polisi wilaya ya Gicumbi, Chief Superintendent of Police (CSP) Dan Ndayambaje aliwaambia maelfu ya watu wa kata ya Kageyo ya kuwa dawa za kulevya huleta umaskini katika familia kwa kua zinaharibiwa ijapo kuwa pesa ambazo zilinunua zingelifanya mambo mengine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa ujumbe ambao ulitolewa na kiongozi wa polisi Musanze Chief Inspector of Police (CIP) Jean Claude Kabandana, alisema kuwa katika dawa za kulevya hakuna faida, wanao safirisha na kuuza watakamatwa kwa sababu polisi inajua mbinu ambazo wanatumia kwa kufanya hayo.

Katika wilaya ya Kirehe walimukamata Nsabiyebose Justin akiwa na kilo 10 za katani, katika kiini ya Kiremera, kata ya Kigarama.

Burera walikamata bokse 504 za pombe isiyo kubaliwa ya aina ya Blue Sky katika kata ya Cyanika.

Wilayani  Karongi walipata lita 450 za pombe ijulikanayo kwa jina la Marokeri katika msako

Lita hizo 450 za Marokeri ni katika kiini ya Kabirizi, kata ya Rubengera; na hapo walimwanga na kuomba walikuwepo kijihazari na mambo hayo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.