Sehemu nyingi za nchi hushitaki na kusema ya kwamba wanaibwa pesa, kunyanganywa mkononi, ndani ya bahasha, ndani ya vikapu na gari, hasa Polisi ya Rwanda inawashauri kutotembea na pesa nyingi mkononi kwa sababu wanaweza hapo kupoteza.

Mfano ni kuwa tarehe 21 mwezi huu watu wawili walinyakuwa pesa mkononi mwa Mugabo JMV, pesa 200.000 karibu ya soko mjini kigali, tarafa ya Nyarugenge , wilaya ya Nyarugenge.

Wizi huu ulifanywa na Karangwa Denis alias Kadake Seti   mwenye umri wa miaka 32 pamoja na Kamanzi Alexis wa miaka 28, walifanya hayo haribu saa 12 za jioni.

Msemaji wa polisi ya Rwanda mjini Kigali, Superintendent of Police (SP) Emmanuel Hitayezu eti,”Wakati Mugabo alikuwa akitembea na pesa hizo mkononi sehemu hio, Karangwa alipapua na kukimbia, mwenyeji akapiga kelele. Alipoona ya kuwa wanamukimbiza aliangusha pesa hizo chini mwenzake Kamanzi akaokota, kwa mwisho polisi iliwakamata.

SP Hitayezu alisema ya kuwa Karangwa alikuwa na 30,000, Kamanzi alikuwa na 80.000 frws, na pesa hizo kapewa mwenyeji, na upelelezi huendelea ili kujua pesa zingine zipo wapi, hao wakiwa kwenye stesheni ya Nyarugenge.

Msemaji wa polisi mjini Kigali aliomba kutumia ATM, Visa Card, Credit Card, MTN  Mobile Money, Tigo Cash, Airtel Money na kazalika.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Baada ya kupesa moja ya pili ya pesa zake, Mugabo alishukuru polisi ya Rwanda akisema eti “muda kitambo kuibwa nikaona polisi wamekamata walio niiba na kunirejeshea elfu 110, naamini bila shaka kwa kuwa pesa zote zitapatikana”.

Karangwa na Kamanzi yazekana kuazibiwa kifungo kati ya miaka tatu na tano na kutoa garama ya pesa kuzidisha tangu tanu hadi kumi ya pesa zilizo ibwa, kama makala 302 ya sheria ya Rwanda husema.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.