kwamamaza 7

Polisi imegundua vifaa vilivyo ibwa na wamoja katiwa mbaroni

0

Katika msakao ulio fanywa na polisi ya Rwanda katika mji wa Kigali tarehe 1 Mach 2017 waligundua vifaa tofauti pakiwemo vifaa vya teknolojia na vifaa vya nyumbani.

Vifaa hivyo kagunduliwa katika tarafa ya Kimironko wilaya ya Gasabo na tarafa ya Nyarugenge wilaya ya Nyarugenge. Vifaa hivyo ni computers 2, televisheni ftat screens 2, simu za aina ya smart phones na kazalika na watu 14 walikamatwa ikifikiliwa kuhusika na wizi huo.

Msemaji wa polisi mjini Kigali Superintendent of Police (SP) Emmanuel Hitayezu, alisema kupitia taarifa kamili walio pewa na raia kuhusu wizi huo walifanya msako na kupata vifaa hivyo. Vifaa vimoja vilipatikana katika nyumba za wakaaji na vingine katika wafanya biashara kwa njia haramu na wamoja kufikiliwa walikamatwa hapo.

SP Hitayezu alisema pia ya kwamba wamejua ya kuwa wanaoiba vifaa vya teknolojia hua na soko isio halali ao wakiwa na mtu kuwatafutiya wateja, kwa hao tumeamua kufanya msako kwenye soko hizo ambazo hazikubaliwi.

Aliendelea na kuomba raia kujiazali na kuuza katika soko haramu kwa kuwa wanaweza kamatwa kama wahusika wa makosa, na kama mtu akisema ya kuwa kifaa hicho ni chake sherti uulizwe kitambulisho ya uuzaji.

Mwezi Januari mwaka huu Polisi ya Rwanda mjini Kigali pia iligundua televisheni 106 pakiwemo 65 za flat screens, computers 87 na simu za mkononi 129 na vingi kati yavyo vimepewa wenyeji.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.