kwamamaza 7

Police iriharikisha kuzimisha moto katika gereza ya Gasabo-Kimironko

0

Leo tarehe 31 Mach 2017, karibu saa mbili na nusu za asubui, gereza ya Gasabo sehemu ijulikanao kwa jina la Kimironko iliwaka moto ila vilivyo haribiwa havijajulikana kwa sababu waliharikisha kuzimisha.

Police ya nchi iliharikisha kuzimisha moto huo, na moto ilikuwa pande mbili zielekeao barabara na wafungwa walikuwa wakihamishwa kwenda sehemu isiyo na moto. Wafungwa wamoja walitiwa katika chumba cha mkutano wengine katika bustani la gereza hilo.

Kamishina mkuu wa ngazi ya wafungwa Andrew Rwigamba alisema kama moto ulianza saa mbili na nusu nab ado hawajua kilicho sababisha moto huo.

IGP Rwigamba eti “msaada ulipatikana haraka, muliona jinsi gari za kuzimisha moto za polisi hata za uwanja wa ndege walizimisha kwa haraka sana, hakuna watu wengi waliojeruhiwa, ni wachache tena ni vidonda visivyo vigumu watapata matibabu mahali hapa”.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Mwisho wa mwaka nenda ndipo gereza ya Nyarugenge ijulikanayo kama 1930 ilikamatwa na moto, hata kwa nyakati ilikuwa gereza ya Muhanga, Rubavu na gereza ya Karubanda.

Kwa muda wa dakika 25, ngazi ya polisi inayohusika na kupambana na moto wakiwa na kizimya moto tatu walikuwa wamezimisha moto.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.