kwamamaza 7

Pikipiki iliyo ibwa Bugesera imekamatwa ikiwa Gakenke

0

Pikipiki ya aina ya TVS yenye  iliibwa wiki nenda katika wilaya ya Bugesera ilikamatwa ikiendeshwa na Nshimiyimana Jean Bosco; akiwa katika kata ya Muhondo, wilaya ya Gakenke tarehe 18 Februari 2017.

Msemaji wa polisi katika jimbo la Kaskazini, Inspector of Police (IP) Innnocent Gasasira alisema ya kuwa pikipiki hio ni ya Ndagijimana Fidele, anaye ishi kiini ya Rugarama, kata ya Mareba.

IP Gasasira eti,”upelelezi huonyesha ya kuwa iliibwa tare 15 mwezi huu akiitoa katika nyumba ya jamii kupitia funguo aliyoifua”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Bila kukawa mwenye pikipiki alipo jua kwamba imeibwa haraka sana alijulisha polisi ya mahali, taarifa ilisambazwa kuhusu wizi huo, badala ya hapo mwizi alikamatwa akiwa katika wilaya ya Gakenke, na mwenyeji amejulishwa kama pikipiki yake imepatikana na anasubiri imufikie.

Mushtumiwa kuiba pikipiki alitiwa mbaroni na yupo kwenye stesheni ya polisi ya Rushashi na upelelezi ukiendelea.

Msemaji wa polisi katika jimbo aliomba wakaaji kujilinda na makosa ya kila aina, kupiganisha wakitoa taarifa mapema ili kuzuia makosa.

Anaye husika na wizi bila kutumia silaha yoyote anaazibiwa kufungwa kati ya miezi 6 namiaka 2, na garama ya pesa zinazo zidishwa tangu mara mbili hadi 5, ama moja katika azabu hizo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.