kwamamaza 7

Picha ya Mwanamke mweusi aliyepambana na polisi Marekani

0

Ieshia Evans, ni mwanamke mwesi aliye jiswali mambo mengi yanayo wapata bwana zao huko Marekani na ndipo aliamua kufanya maandamano aliyo yaita maandamano ya Black Lives Matter Baton Rouge, Louisiana.

Kuna pia aliyesema si lazima wawe kwenye maandamano barabarani lakini jibu likiwa wazi na kusema “Tuko hapa tufanye nini?” na hayo yalifanyika Mwezi Julai.

Picha yake akiwa amesimama bila kuonekana kubabaika mbele ya maafisa wa polisi ilisambaa sana duniani. “katika picha hiyo, kuna nguvu za mwanamke hapo, nguvu za mtu mweusi,” anasema.

“Wanaume wetu weusi wanaweza kujua malkia wao wanasimama nao – hawajaachwa peke.”, aliposema hayo alipenda kuwaonyesha wanaume wao kwamba wanawashiriki kwa hali yoyote.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter 

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.